- Tunatangaza ndoa kwa mara ya pili kati ya washiriki wetu Baraka Boniface Kipanta na Elizabeth Mwita Chacha itakayofungwa tarehe 30/06/2024 hapa kanisani.
- Tunatangaza ndoa kwa mara ya pili kati ya Mshiriki wetu Felister Jackson Miliki na Hassan Musa Chikira itakayofungwa tarehe 30/06/2024 Mwambani sda Same