- Mwinjilisti wetu wa Kundi la Chamakweza anauguliwa na mke wake amesafiri kwenda kumuona huko kwao Upareni.
- Mshiriki wetu Rose Mnango anauguliwa na mama yake mzazi huko Arusha.
- Mshiriki wetu Jonas Mbwambo ni mgojwa ila kwa sasa anaendelea vizuri, yuko nyumbani kwake Mbezi.
- Mshiriki wetu Amian Daudi {mrs Chambua} anaumwa yuko nyumbani kwao Upareni.
Tuwatembelee wagonjwa kuwafariji na kuwaombea.