Author: Noberth Nikombolwe

MAKAMBI

Sherehe zetu za Makambi zinaanza rasmi leo jioni washiriki mnakumbushwa kukamilisha michango yenu na kuaandaa sadaka zetu za shukrani kwa Bwana, pia kuandaa mioyo kwa ajili ya kupokea Neno.

WAHUDUMU

WAHUDUMU MAKUNDINI SABATO IJAYO: WAHUDUMU KWA WATOTO LEO: WAHUDUMU SABATO YA LEO MAKUNDINI. HUDUMA ZA UIMBAJI SABATO LEO MAOMBI: Jumatano Tutakuwa kwenye Makambi KUFUNGUA SABATO: Tutakuwa kwenye Makambi KUFUNGA SABATO…

NDOA

Tunatangaza ndoa kwa mara ya pili kati ya washiriki wetu Baraka Boniface Kipanta na Elizabeth Mwita Chacha itakayofungwa tarehe 30/06/2024 hapa kanisani. Tunatangaza ndoa kwa mara ya pili kati ya…