Siku ya Kumi- SIKU 10 ZA MAOMBI
Usitutie Majaribuni Fungu Elekezi: “Maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu” (Yakobo 1:13). Je! Mungu Anafanya Hivyo Kweli? Mungu ni mtakatifu, Yeye ni upendo. Hamjaribu mtu…
Siku ya Tisa- SIKU 10 ZA MAOMBI
Utusamehe Deni Zetu kama Nasi Tuwasamehevyo Wadeni Wetu Fungu Elekezi: “Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi” (Mt. 6:14). “Sikuuhisi” Alikuwa mzee na amekuwa…
Siku ya Nane – SIKU 10 ZA MAOMBI
Utupe Leo Riziki Yetu Fungu Elekezi: “Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa…
Siku ya Saba – SIKU 10 ZA MAOMBI
Mapenzi Yako Yatimizwe Hapa Duniani Kama Huko Mbinguni Fungu Elekezi: “Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu…
Siku ya Sita- SIKU 10 ZA MAOMBI
Ufalme Wako Uje Fungu Elekezi: “Ufalme wa Mungu umo ndani yenu” (Luka 17:21b). Wokovu Umeingia Katika Luka 19 anajitolea kuingia katika nyumba ya Zakayo. Kisha Yesu anasema, “Leo wokovu umefika…
Siku ya tano – SIKU 10 ZA MAOMBI
Jina Lako Litukuzwe Fungu Elekezi: “Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni” (Mathayo 5:16). Sisi ni Barua ya…
Siku ya nne – SIKU 10 ZA MAOMBI
SOMO: Maombi Yasiyojibiwa (Na Imani) Fungu Elekezi: “Bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya” Isa. 40:31a). Kungojea … Kusubiri si kitu cha kufurahisha. Nani anapenda kusubiri? Kusubiri katika ofisi ya…
SOMO: Siku ya Tatu – SIKU 10 ZA MAOMBI
SOMO: KUWA DHAHIRI Fungu Elekezi: “Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na…